Menu

Uliweza kutazama na kutambua jinsi mtukutu Suarez alivyo mng’ata mchezaji wa Italia Giorgio Chiellini? Hiyo hapo ni video yake jinsi gani mcheziji huyo toka Uruguay alivyomshindilia mwenzake meno begani.
Hata hivyo mchezaji huyo aliomba radhi kwa tendo hilo alilolifanya na kuahidi hatorudia tena. Suarez ambaye atakuwa nje kwa miezi minne. Awali club yake ya sasa Barcelona imejitahidi kwenda mahakamani ili walau apunguziwe adhabu hiyo, matokeo yake wamegonga mwamba. Hivyo barcelona kusubiri mpaka pale muda wake utakapofika kuruhusiwa kuingia uwanjani.

0 comments:

Post a Comment

 
Top