Kuna utafiti wa kisayansi umefanyika mwaka jana kuwa unasema kuwa lonely
(mpweke) ni mbaya kwa afya yako zaidi ya yule anaevuta sigara 15 kwa siku.
Ilikuwa ni mshtuko
kwangu kwamba kutokuwa na uwezo wa
kuweza kuwavutia wanawake licha ya kutokuwa na furaha bali itaniletea matatizo
ya kiafya.
Lakini kama unaweza kuchagua kuacha sigara unaweza
kuchagua kuwa bora kwa wanawake. Na mimi nilikuwa tayari nimechoka kuwa mzembe
na bongololo kwa wanawake.
Kuacha kuvuta
sigara ni moja ya mambo magumu zaidi kwa mtu wa kawaida kujaribu kupotezea
sigara , kiwango cha kushindwa kwa mara ya kwanza ni zaidi ya 83%. Lakini wale
ambao kufanya hivyo kwa kupata mwongozo na msaada wa wengine, basi mafanikio
yatatokea kwa zaidi ya ushindi wa
asilimia 312.
Hii imenifanya niweze kutambua kuwa nahitaji msaada ili
niweze kuwavuta na kuwapata wanawake (yaani wanishobokee) nilikuwa tayari kupata maarifa na kujiweka
katika hali nzuri na kipiga hatua kwa
kupata msaada kutoka kwa mtu ambaye tayari huwa nakuwa na type ya wanawake
ambao mimi pia ndio nao wahitaji (yaan wako so hot and intelligents) ).
Unaweza kuona,
mimi nilivyokuwa bongololo (very lame)
linapokuja swala la kukutana, kuchati au kuzungumza na wanawake.
Mimi nilikuwa safi tu pale napozungukwa na wanawake ambao
hawanivutii, lakini pale tu utakapo niweka au kujikuta nipo mbele ya mwanamke
anaye nivutia ... duuuuuu!!!
basi confidence itashuka paaaa! kama vile kama panya
aliyechanganyikiwa akikutwa kwenye chumba.
lakini rafiki yangu mmoja wakike alinishauri, "be
yourself" yaani niwe kama nilivyo tu. Lakini hilo halikunisaidia. Kwa
kweli na hilo lilikuwa tena tatizo lingine! Nilikuwa mwenyewe tu kama siku zote ila napozungukwa na wanawake hawa ... hofu hutanda na kunitawala kama siku zote.nilisema.
basi poa, ila kuwa na ujasiri! "aliweza kuniambia
yule dada.
nikaanza kujiuliza kwa namna gani Jinsi navyoweza kuwa na
ujasiri yaani (confidence) lakini
nikuwaje na ujasiri wakati sina huo ujasiri? swala si kuwanao huo ujasiri bali
niwewe mwenyewe kuamua kuwa jasiri na kuamini kuwa unauwezo kama wengine, basi
unaweza kutokuwwa na ujasiri au kutokuwa nao kama awali. muda na saa yoyote
just maamuzi yako tu, alisema yule dada.
kuna story moja ya jamaa imenisaidia sana.
Josh amesaidia maelfu ya wanaume kutokuwa mabachela na
kuwa miongoni mwa wanaume wanao wavutia na wapagawisha wakina dada popote
pale..
Baada ya kuwa
featured kwenye NBC "The today
Show" mfumo wake umefanikiwa kuuzwa mamia na maelfu kwa nakala zake kote
ulimwenguni, ili kufanya jamii ya watu kutoka
kila nchi kuwa na lengo moja; kusaidia watu single kuwa na mafanikio na
wanawake.
Safari yangu kwenda kumsaka Joshua na kupata mafundisho
yake ilichukua karibu miezi 6, na wakati huo mimi mwenyewe nikaanza jujaribu
njia nyingi tofauti kama:
1. ONLINE DATING
Mantiki yangu ilikuwa rahisi. Siwezi kuzungumza na
wanawake, lakini naweza ku type au kuchatt kama vile secretary . nilipokuwa
online nilitengezeneza profile langu zuri na kuweka sifa zangu nzuri nzuri(my
good qualities)
wanawake wakaanza kinitumia request na meseji nyingi
sana. lakini baadae nishtukia jinsi gani nilivyokuwa mjinga wakati nachati na
hao kina dada kwa kutozingatia na kujifunza kanuni kabla ya kuanza kuchati nao,
haikunifikisha popote.
2. KUTOJIAMIN.
niwazi nilitambua baada ya kuambiwa kuwa kukosa ujasiri
ndio ulikuwa msingi mkubwa ulionifanya nisipate mafanikio. Kama ningeweza kuwa
na ushupavu huo basi ningekuwa nimepata warembo. Nikaamua katoa dola150 kupata hypnosis course ambayo
ilinifanya nisikilize kwa saa 1 kila
siku kwa muda wa siku 28.
nilipata mafunzo yakutosha yanayosisitiza namna gani
yakujitambua kiimani na namna gani ya kuweza kujiamini, kikubwa ni kuweza
kuindoa aibu yangu na kuwa ngangari. lakini tabia yangu haikubadilika bado
nikawa vilevile napokutana na wanawake warembo. baada ya siku 33 nilitambua
jinsi gani ambavyo nimepoteza muda tu na garama zangu.
3 BADASS SYSTEM.
mwanzo nilisita kujaribu hata hili, nilikuwa sipendi
kutumia mbinu za kisaikologia kuwashawishi warembo. na sikuwa tayari kuanza
kujifunza mbinu hizo kwa kupata kazi ngumu sana kusoma mamia ya kurasa na
kusoma forums tofauti tofauti za watu.
lakini punde tu nikajitahidi kitu fulani, umewahi kusikia
kanuni za Pareto? Inasema hivi, asilimia 20% ya juhudi yako inajenga 80% ya
matokeo yako. Mara baada ya mimi nia yangu ya kujifunza na kuchukua hatua juu
ya 20% tu ya kile nilichokipata kutoka kwaTao Of Badass System niliweza
kufanikwa kupata matokeo 80% ya mtu ambaye alikuwa ameifamu ile kozi vizuri.
Tangia siku hiyo nilijifunza mambo yafuatayo:
1. Jinsi ya kuacha kuji lock mwenyewe kwa kuchukua ushauri
kutoka kwa rafiki huyohuyo pekee.haipingikii unaweza kuwa na uhakika wa mwanamke na kuwa
ataingia kwenye nyavu yako, bila kujali anachokisema.
2. Jinsi ya wewe
utakavyo kaa na kuweka pozi ndio unaweza pia kumpoteza mrembo hapohapo.
3. Jinsi utakavyo weka mapozi yakutembea pia ni njia moja
ambayo itawafanya warembo kugeuza vichwa vyao kwa kukuangalia wewe.
4. jinsi utakavyo cheza na mind itawafanya wanawake kutaka kuwa na wewe ...
uncontrollably. lakini haya machache ni muhimu kama sukari tamu ipambavyo juu
ya keki na kukutoa udenda.
muhimu zaidi kwangu kwasasa natumia mkakati, kama njia
ambayo imenitoa kutoka nilipokuwa mpaka pale ninapopapenda kuwa.
nimejaribu na kutafiti njia ambazo zimekaa kisayansi
kujisaidia mwenyewe ambazo zinatoa msukumo na faraja.
Nikawa jasiri na warembo kwa sababu sikuwa na cheza
mchezo biloa kufata taratibu zakufata. kwasasa sitatui tatizo bila kutumia
nyenzo husika.
hayo yote yalianza na
story ya samaki.ukitaka kuona video bonyeza hii linki.
0 comments:
Post a Comment