Menu

Imethibitika kuwa Fernando Torres anaweza kuihama Chelsea mapema baada ya kikosi hicho cha Stamford Bridge kukamilika kwa wachezaji mashuhuri na kocha wake Jose  kutokuwa chagua la kwanza au kupewa kipaumbele kama ilivyotarajiwa wakati anajiunga na kikosi hicho akitokea Liverpool. Torres anaweza kupewa ofa ya kwenda Roma kwa mkopo. Hata hivyo inatarajiwa kuwwa atakihama kikosi hicho pamoja na mwenzake golikipa Petr Cech baada ya kuona atasugua benchi hapo Stamford Bridge. 

0 comments:

Post a Comment

 
Top