SAMI KHEDIRA KAKUBALI KUTUA ARSENAL
Sami Khedira kuktua Arsenal Imethibitika Sami Khedira kakubali kutua Arsenal, habari zinazo toka kwa Guillem Balague kwamba Chelsea w...
SAMI KHEDIRA KAKUBALI KUTUA ARSENAL
Sami Khedira kuktua Arsenal Imethibitika Sami Khedira kakubali kutua Arsenal, habari zinazo toka kwa Guillem Balague kwamba Chelsea w...
JINSI YAKUONDOKANA NA URAFIKI NA KUWA WAPENZI
Smart life inakupa habari motomoto kwa nini 95% ya vijana kwa masikitiko makubwa wanajikuta wanaisha kuwa marafiki na si wapenzi. Smar...
KASHFA YA JAY Z NA BEYONCE NA TETESI ZILIZO ZAGAA
Pamoja na wasiwasi uliotawala kuwa inakabiliwa kuwa na doa kwa wapenzi hawa mashuhuri Beyonce na Jay Z, Tina ambaye ni mama mzazi wa Beyonc...
NI BORA KUVUTA SIGARA 15 KWA SIKU KULIKO KUWA MPWEKE (LONELY)
Kuna utafiti wa kisayansi umefanyika mwaka jana kuwa unasema kuwa lonely (mpweke) ni mbaya kwa afya yako zaidi ya yule anaevuta sigara 15 k...
VIDEO YA SUAREZ ALIVYOMNG'ATA GIORGIO CHIELLINI HII HAPA
Uliweza kutazama na kutambua jinsi mtukutu Suarez alivyo mng’ata mchezaji wa Italia Giorgio Chiellini ? Hiyo hapo ni video yake jinsi gan...
Fernando Torres kwenda Roma kwa mkopo
I methibitika kuwa Fernando Torres anaweza kuihama Chelsea mapema baada ya kikosi hicho cha Stamford Bridge kukamilika kwa wachezaji mash...
Manchester wanamvizia Xabi Alonso kuimarisha kikosi
Manchester United wanatafuta njia yoyote kupeleka dau zuri ili kuweza kuwashawishi Real Madrid kuwaachia mchezaji wao maarufu Xabi Alonso....
Mtukutu Mario Balotelli kutua Liverpool muda wowote
Mario Balotelli Mchezaji mtukutu kutoka AC Milan anatarajiwa kujiunga na timu ya Liverpool muda wowote baada ya ada ya uhamisho Pauni 1...
Ni William Carvalho au Sami Khedira kutua Arseanl?
Arsenal tayari sasa wanaanza mbio za kusaka kiungo wa kati baada ya nahodha wao Arteta kupata majeruhi katika mechi iliyochezwa Jumanne ili...
Arsene Wenger aweka nia kumleta Marco Reus kwa washika bunduki
Arsenal wapata fursa ya kuweza kumsajili Marco Reus kama Borussia Dortmund wataridhia baada ya mchezaji wao kugoma kusaini mkataba mpya,...
Marco Reus katika anga za kutua Barcelona
baada ya uamuzi wa FIFA kuwasitisha Barcelona kuingia katika mchakato wowote wa kibiashara wakufanya usajili katika fursa mbili zote za usaj...
Paul Parker aponda Rooney kuwa nahodha wa Man United
Van Gaal kama kajichimbia kabuli kwa uteuzi wa kepteni “wayne Rooney Meneja wa Manchester United-Van Gaal Hata hivyo, nyota wa zamani...
Thomas Muller awatosa manchester United
Thomas Muller aweka wazi kuwa alikataa ofa nono kutoka kwa Man United Inaonekana wazi kwamba pamoja na Manchester United kuwa na bakuli lao ...
Manchester United na Mpira wa kisiasa
Hivi Manchester united wanatumia mbinu za kisiasa kucheza mpira? Nilikuwa najiuliza hilo swali lakini baadae nikapata majibu yakutosha. ...
Madrid waingiwa na wasiwasi
Real Madrid yaingia wasiwasi tangu kupatwa kwa majeraha kwa mchezaji wa muhimu Christiano Ronaldo. Mchezaji huyo muhimu na muhimili ...
Nitawafunga tena goli Atletico Madrid-James Rodriguez
RODRIGUEZ AWAPANIA ATLETICO MADRD Rodriguez kaweka wazi kuwa atakuwa na bao la ushindi katika mchezo wake wakati Real Madrid itakapo kute...
Federico Fernandez atua Swansea City.
Swansea City wafanikiwa kumsajili beki wa Argentina Federico Fernandez. Baada ya kumaliza mchakamchaka majira ya joto na Argentina katika...