William Carvalho na Sami Khedira |
Wenger akishuhudia mchezaji wake akitoka nje |
wachezaji ambao Arsenal imeonesha nia ni
William Carvalho na Sami Khedira. hivyo inamlazimu afanye utaratibu ili kuweka kikosi chake imara zaidi hata baada ya kiwango kisichoridhisha katika mechi iliyopita.
Jambo hili limekuwa kamapigo kwa Arsene Wenger ambaye kwasasa analazimika kutafuta mbadala wake hivi punde kabla dirisha la usajili halijafungwa. Arsena imekuwa ni timu ambayo inapata tabu sana kila msimu kwa kupata majeruhi kwa wachezaji muhimu sana kwenye kikosi cha kwanza.
habari kutoka Daily telegraph.
0 comments:
Post a Comment