Menu

Pamoja na wasiwasi uliotawala kuwa inakabiliwa kuwa na doa kwa wapenzi hawa mashuhuri Beyonce na Jay Z, Tina ambaye ni mama mzazi wa Beyonce ameihakikishia dunia nzima kuwa Bey na Jay  ndoa yao ipo "kamili" bila mashaka yoyoyte na kilakitu kipo sawa.
Taarifa hiyo imevunja uvumi ya kwamba ndoa hiyo inamtafaruku baina ya wawili hao. 
wawili hao licha ya taarifa mbaya kuzagaa mtaani lakini wameonekana wakila bata na kupiga picha kama kawaida yao japo wadau wanasema wanaigiza kuonyesha tu mambo yapo sawa wakati utata kati yao.
Mama yake beyonce amesisitiza kuwa wasio penda maendeleo na kutowatakia mema wataendelea kuwa hivyo siku zote na hamna njia yoyote yakufanya kuwazuia kwa chuki zao.
kila kitu kipo sawa kama kawaida sipotezi hata muda wakufatilia uvumi huo, alisistiza mama yake Beyonce.
wanandoa hao Jay Z na Beyonce wana miaka 6 katka ndoa yao huku wakiwa na mtoto mdogo wa kike mwenye umri wa miaka 2.

0 comments:

Post a Comment

 
Top