Menu

baada ya uamuzi wa FIFA kuwasitisha Barcelona kuingia katika mchakato wowote wa kibiashara wakufanya usajili katika fursa mbili zote za usajili zijazo, umewafanya Barcelona walazimike kwa jitihada zote kusaka saini ya mchezaji Marco Reus na kumleta Camp Nou.


Barcelona wamefikia uamuzi huo baada ya kugonga mwamba kuomba kupunguziwa adhabu kwa mchezaji wao mpya wakimataifa luis Suarez aliyekuwa kifungoni tangu kwa kombe la Dunia baada ya kumng'ata mwenzie uwanjani,na ni wazi hatoingia uwanja hivi karibuni.

licha ya mwalimu wa Dortumund kusema kuwa Marco Reus atabaki hapa Signal Iduna Park msimu huu lakini bado anawasiwasi kwa mchezaji huyo wa Ujerumani kuweza kuondoka na hivyo kuwa ngumu sana kukabiliana na mahasimu wao Beyern Munich msimu huu.

0 comments:

Post a Comment

 
Top