Van Gaal
kama kajichimbia kabuli kwa uteuzi wa kepteni “wayne Rooney
![]() |
Meneja wa Manchester United-Van Gaal |
Hata hivyo, nyota wa zamani wa United Paul Parker anadhani
kwamba licha ya kiwango kibovu kilichoonyeshwa na kikosi hicho, ni ukosefu wa
uongozi ambao unaikabili United kwa wakati uliopita na wakati huu, hata hivyo
uamuzi wa Louis van Gaal kwa kumteua Wayne Rooney kama nahodha wa klabu ni kama
kajipiga kofi. Parker alieleza kuwa badala ya kutoa msukumo, Rooney alikuwa
aliwafokea wachezaji wenzake uwanjani kwa kuonyesha ghadhabu kubwa. Rooney ambae ni mcheza wa Uingereza.
kaonyesha ujinga 'It is ridicolus'.
Paul Parker amesikitishwa na kiwango kilicho onyeshwa na timu
yake ya zamani Manchester united huku akisema wazi kuwa uteuzi wa nahodha Wayne
rooney haukuwa sahihi, mchezaji huyo (rooney) mara nyingi ameonekana ni
mchezaji mwenye hasira sana na jeuri hasa mambo yake yanapokuwa si mazuri
uwanjani.
0 comments:
Post a Comment