Menu

Manchester United wanatafuta njia yoyote kupeleka dau zuri ili kuweza kuwashawishi Real Madrid kuwaachia mchezaji wao maarufu Xabi Alonso. Alonso mwenye umri wa miaka 32 anategemea kutua Old Trafford ili kumuweka kocha mpya wa Man United Lous van Gaal katka nafasi nzuri baada yakuona mwenendo wa timu yake hairidhishi.

Bado haijawekwa wazi kama uwezekano huo upo au haupo. Majibu yatategemeana na viongozi wake na Timu kiujumla.

0 comments:

Post a Comment

 
Top