Mchezaji huyo muhimu na muhimili katika
kikosi cha kwanza atarejea tena uwanjani huku club ikiwa na wasiwasi juu ya
uwezo wake wa awali na mbwembwe zote akiwa uwanjani.
Licha ya hilo mchezaji wao mwingine muhimu Luka Modric kamwaga
wino kwenye karatasi mkataba wa miaka minne (4), atajumuika na wachezaji
wengine katika kupambana kusaka mataji yakutosha.
Real ambao tayari wamechukua kombe la UEFA mwaka 2013-2014 baada
ya kuwapachika Atletico Madrid mabao 4-1.
0 comments:
Post a Comment