RODRIGUEZ AWAPANIA ATLETICO MADRD
Rodriguez
kaweka wazi kuwa atakuwa na bao la ushindi katika mchezo wake wakati Real
Madrid itakapo kutembelea Atletico Madrid katika Supercopa de Espana katika
mchezo wa pili. Mchezaji huyo wakimataifa raia wa Colombia, ambaye aliwasili
kutoka Monaco mwezi uliopita. Na, wakati akifafanua furaha yake katika fursa
kwa Real, Rodriguez ametamba kuwa hatochezea fulsa zitakazo patikana mchezo wao
unaofata siku ya Ijumaa.
![]() |
Mchezaji mpya wa Real Madrid, James Rodriguez |
"Nina
furaha kwa sababu ni siku ambayo nilikuwa nimeota," alisema. "Mimi nilifunga
bao, lakini sisi tulitakiwa kushinda lakini kwa bahati mbaya haijawa hivyo.
"Neema
ya ushindi ilitakiwa kuwepo hapahapa kwanza, lakini sasa tuna kwenda nje
kushinda hukohuko Calderon.
"kwasasa
ni kuwa na subira,na kutumia nafasi muhimu tutazopata katika maeneo muhimu, kucheza
mpira safi kwa pamoja na kutumia fursa zote, na lazima iwe hivyo” aliongezea Rodriguez.
"Nina
matumaini yakutosha na naweza nikafunga goli tena huko Calderon na kujaribu kuisaidia
timu yangu kushinda."
“Tunahamu sana kucheza tukiwa na mashabiki
wetu na kunyakua kombe tena”.
0 comments:
Post a Comment