Paul Parker aponda Rooney kuwa nahodha wa Man UnitedPaul Parker aponda Rooney kuwa nahodha wa Man United

Van Gaal kama kajichimbia kabuli kwa uteuzi wa kepteni “wayne Rooney Meneja wa Manchester United-Van Gaal Hata hivyo, nyota wa zamani wa United Paul Parker anadhani kwamba licha ya kiwango kibovu ki…

Read more »
20 Aug 2014

Thomas Muller awatosa manchester UnitedThomas Muller awatosa manchester United

Thomas Muller aweka wazi kuwa alikataa ofa nono kutoka kwa Man UnitedInaonekana wazi kwamba pamoja na Manchester United kuwa na bakuli lao la fedha zakutosha  wameshindwa  kwavutia na kusajili wacheza…

Read more »
20 Aug 2014

Manchester United na Mpira wa kisiasaManchester United na Mpira wa kisiasa

Hivi Manchester united wanatumia mbinu za kisiasa kucheza mpira? Nilikuwa najiuliza hilo swali lakini baadae nikapata majibu yakutosha.  Najua unafahamu Manchester United chimbuko lake wapi! Ni Uinge…

Read more »
20 Aug 2014

Madrid waingiwa na wasiwasiMadrid waingiwa na wasiwasi

Real Madrid yaingia wasiwasi tangu kupatwa kwa majeraha kwa mchezaji wa muhimu Christiano Ronaldo.  Mchezaji huyo muhimu na muhimili katika kikosi cha kwanza atarejea tena uwanjani huku club ikiwa na …

Read more »
20 Aug 2014

Nitawafunga tena goli Atletico Madrid-James RodriguezNitawafunga tena goli Atletico Madrid-James Rodriguez

RODRIGUEZ AWAPANIA ATLETICO MADRD Rodriguez kaweka wazi kuwa atakuwa na bao la ushindi katika mchezo wake wakati Real Madrid itakapo kutembelea Atletico Madrid katika Supercopa de Espana katika mchez…

Read more »
20 Aug 2014

 Federico Fernandez atua Swansea City. Federico Fernandez atua Swansea City.

Swansea City wafanikiwa kumsajili beki wa Argentina Federico Fernandez. Baada ya kumaliza mchakamchaka majira ya joto na Argentina katika Kombe la Dunia, beki wa kati Federico Fernandez ameingia  kat…

Read more »
20 Aug 2014
 
Top