
Sami Khedira kuktua Arsenal Imethibitika Sami Khedira kakubali kutua Arsenal, habari zinazo toka kwa Guillem Balague kwamba Chelsea wamesita mojo kwa moja kuweka nguvu za kutosha kwa kiungo mkabaji …
Sami Khedira kuktua Arsenal Imethibitika Sami Khedira kakubali kutua Arsenal, habari zinazo toka kwa Guillem Balague kwamba Chelsea wamesita mojo kwa moja kuweka nguvu za kutosha kwa kiungo mkabaji …
Smart life inakupa habari motomoto kwa nini 95% ya vijana kwa masikitiko makubwa wanajikuta wanaisha kuwa marafiki na si wapenzi. Smart life wanasema kuondokona na hali hiyo ya kutoka kwenye urafik…
Pamoja na wasiwasi uliotawala kuwa inakabiliwa kuwa na doa kwa wapenzi hawa mashuhuri Beyonce na Jay Z, Tina ambaye ni mama mzazi wa Beyonce ameihakikishia dunia nzima kuwa Bey na Jay ndoa yao ipo "…
Kuna utafiti wa kisayansi umefanyika mwaka jana kuwa unasema kuwa lonely (mpweke) ni mbaya kwa afya yako zaidi ya yule anaevuta sigara 15 kwa siku. Ilikuwa ni mshtuko kwangu kwamba kutokuwa na uwez…
Uliweza kutazama na kutambua jinsi mtukutu Suarez alivyo mng’ata mchezaji wa Italia Giorgio Chiellini? Hiyo hapo ni video yake jinsi gani mcheziji huyo toka Uruguay alivyomshindilia mwenzake meno beg…
Imethibitika kuwa Fernando Torres anaweza kuihama Chelsea mapema baada ya kikosi hicho cha Stamford Bridge kukamilika kwa wachezaji mashuhuri na kocha wake Jose kutokuwa chagua la kwanza au kupewa k…
Manchester United wanatafuta njia yoyote kupeleka dau zuri ili kuweza kuwashawishi Real Madrid kuwaachia mchezaji wao maarufu Xabi Alonso. Alonso mwenye umri wa miaka 32 anategemea kutua Old Trafford…
Mario Balotelli Mchezaji mtukutu kutoka AC Milan anatarajiwa kujiunga na timu ya Liverpool muda wowote baada ya ada ya uhamisho Pauni 16 milioni kukubaliwa. Hata hivyo swala ambalo analiogopa kocha …
Arsenal tayari sasa wanaanza mbio za kusaka kiungo wa kati baada ya nahodha wao Arteta kupata majeruhi katika mechi iliyochezwa Jumanne iliyopita. William Carvalho na Sami Khedira Wenger akishuhudi…
Arsenal wapata fursa ya kuweza kumsajili Marco Reus kama Borussia Dortmund wataridhia baada ya mchezaji wao kugoma kusaini mkataba mpya, Reus ambaye katosa mkataba mpya na Dortmund. kocha wa Arsena…
baada ya uamuzi wa FIFA kuwasitisha Barcelona kuingia katika mchakato wowote wa kibiashara wakufanya usajili katika fursa mbili zote za usajili zijazo, umewafanya Barcelona walazimike kwa jitihada zot…
Van Gaal kama kajichimbia kabuli kwa uteuzi wa kepteni “wayne Rooney Meneja wa Manchester United-Van Gaal Hata hivyo, nyota wa zamani wa United Paul Parker anadhani kwamba licha ya kiwango kibovu ki…
Thomas Muller aweka wazi kuwa alikataa ofa nono kutoka kwa Man UnitedInaonekana wazi kwamba pamoja na Manchester United kuwa na bakuli lao la fedha zakutosha wameshindwa kwavutia na kusajili wacheza…
Hivi Manchester united wanatumia mbinu za kisiasa kucheza mpira? Nilikuwa najiuliza hilo swali lakini baadae nikapata majibu yakutosha. Najua unafahamu Manchester United chimbuko lake wapi! Ni Uinge…
Real Madrid yaingia wasiwasi tangu kupatwa kwa majeraha kwa mchezaji wa muhimu Christiano Ronaldo. Mchezaji huyo muhimu na muhimili katika kikosi cha kwanza atarejea tena uwanjani huku club ikiwa na …
RODRIGUEZ AWAPANIA ATLETICO MADRD Rodriguez kaweka wazi kuwa atakuwa na bao la ushindi katika mchezo wake wakati Real Madrid itakapo kutembelea Atletico Madrid katika Supercopa de Espana katika mchez…
Swansea City wafanikiwa kumsajili beki wa Argentina Federico Fernandez. Baada ya kumaliza mchakamchaka majira ya joto na Argentina katika Kombe la Dunia, beki wa kati Federico Fernandez ameingia kat…